Mapenzi ya Mungu ni filamu ya Kitanzania iliyotolewa mwaka 2014[1].

Mtayarishaji mkuu ni Elizabeth Michael na imeongozwa na Alex Wasponga. Washiriki wakuu ni Elizabeth Michael, Linah Sanga, and Florah Mtegoha.

Washiriki hariri

Uandaaji hariri

Mandhari ya filamu hii ni Dar es Salaam Tanzania. Kampuni iliyoandaa ni Uwezo Production.

Kuachiwa hariri

  • Trela rasmi ya Mapenzi Ya Mungu iliwekwa katika chaneli ya YouTube ya Proin. Filamu hii iliwekwa sokoni rasmi tarehe 27 Oktoba 2014 kwa mfumo wa DVD na mtandaoni.[2]
  • Filamu ya Mapenzi ya Mungu ilioneshwa katika siku ya filamu ya Zanzibar na iliteuliwa katika mashindano ya Zuku Bongo Movies Awards[3]

Tuzo na Uteuzi hariri

Mwaka Tukio Tuzo Aliepokea Matokeo
2015 Zanzibar International Film Festival Zuku Bongo Movie Awards Mapenzi Ya Mungu Mshriki
2016 2016 Africa Magic Viewers Choice Awards Filamu Bora ya Afrika Mashariki Mapenzi Ya Mungu Ameshinda[4]

Marejeo hariri

  1. "Hatimaye Filamu ya MAPENZI YA MUNGU Imeingia Rasmi Sokoni Leo..Ndani Yupo Lulu, Linah na Mama Kanumba.". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-12. Iliwekwa mnamo 2020-10-10. 
  2. proinpromotions.co.tz
  3. "NOMINEES of ZUKU BONGO MOVIES AWARDS 2015". 25 June 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-12. Iliwekwa mnamo 2020-10-10.  Check date values in: |date= (help)
  4. "Tanzanian actress gets heroic welcome after 'winning big' at AMVCA - Nigerian Entertainment Today - Nigeria's Top Website for News, Gossip, Comedy, Videos, Blogs, Events, Weddings, Nollywood, Celebs, Scoop and Games". 9 March 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 May 2016. Iliwekwa mnamo 10 April 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapenzi ya Mungu kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.