Marcos Alonso

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Marcos Alonso (alizaliwa tarehe 28 Desemba 1990) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama beki wa kushoto au beki wa kati wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Chelsea f.c. na timu ya taifa ya Hispania.

Marcos Alonso

Kazi ya klabuEdit

Alianza kazi yake akiwa na klabu ya Real Madrid, lakini aliitwaa jina lake kutoka katika klabu ya Bolton Wanderers nchini uingereza na baadaye kwenda katika klabu ya Fiorentina nchini Italia. Mafanikio yake katika klabu ya pili ilimfanya Chelsea kumsajili kwa wastani wa milioni 24 mwaka 2016.

Kazi ya kimataifaEdit

Alonso aliitwa kwa ajili ya kuiwakilisha timu ya taifa ya Hispania mwezi wa Machi 2018 kwa ajili ya Kombe la Dunia la FIFA 2018.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcos Alonso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.