Mareme Faye ni mwanamke mwnana riadha wa kuogelea kutoka Senegal.[1] Katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya 2012, alishiriki katika Matukio ya Freestyle ya mita 100 kwa wanawake, akimaliza nafasi ya 46 kwa jumla katika awali, hivyo kushindwa kufuzu kwa nusu fainali.

Marejeo hariri

  1. "Mareme Faye". London 2012. The London Organising Committee of the Olympic Games and Paralympic Games Limited. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 July 2012. Iliwekwa mnamo 13 September 2012.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mareme Faye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.