Margaret Bakkes
Mwandishi Wa Afrika Kusini
Margaret Bakkes (14 Disemba 1931 - 29 Juni 2016) alikuwa mwandishi kutoka Afrika Kusini.
Margaret Bakkes | |
Amezaliwa | 14, Desemba, 1931 Afrika kusini |
---|---|
Nchi | Afrika Kusini |
Aliolewa na mwanahistoria Cas Bakkes na kuwa mama wa watoto wanne. C. Johan Bakkes, Marius, Matilde, na Christian Bakkes, wawili kati yao Johannes na Christiaan pia walikuja kuwa waandishi. [1]
Margaret Bakkes aliandika vitabu zaidi ya thelathini (30) na hadithi fupi za Kiafrika.
Margaret Bakkes alifariki akiwa na umri wa miaka 84.[2]
Kazi
hariri- Die Reise Van Olga Dolsjikowa En Ander Omswerwinge
- Kroniek Van Die Sewe Blou Waens: Die Kort Lewe Van Gert Maritz
- Littekens: Stories En Memories
- Susanna Die Geliefde
- Waar Jou Skat Is
- Baksel in Die Môre
- Ontheemdes
- Benedicta
Marejeo
hariri- ↑ "Rus in vrede, Margaret Bakkes (1931 - 2016)". bookslive.co.za (kwa Afrikaans). Iliwekwa mnamo 2 Julai 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Margaret Bakkes (1931 - 2016) Archived 9 Januari 2017 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Margaret Bakkes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |