Marianne Bruns (31 Agosti 1897 – 1 Januari 1994) alikuwa mwandishi wa riwaya na mshairi wa Ujerumani wa karne ya 20.[1]

Picha ya Maktaba ya Shirikisho 183-83789-0113, Magdeburg, Sherehe ya Tatu ya Wafanyakazi, sherehe ya tuzo, Herbert Warnke.

Marejeo

hariri
  1. Detlev Roth, "Marianne Bruns – Schreiben ist Leben. Pottsdamer BurgerZeitung, 30. June 2008 "Marianne Bruns – Schreiben ist Leben". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-07-08. Iliwekwa mnamo 2013-02-06.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marianne Bruns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.