Maridi ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Equatoria Magharibi.
Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 18,000 mwaka 2011.