Marijampolė

Marijampolė (kati ya 1955 hadi 1989: Kapsukas) ni mji nchini Lituanya. Ni mji mkubwa wa saba katika nchi wa Lituanya. Kuna wakazi 47,244 (mwaka 2007). Mji ulianzishwa 1792.

Katikati ya mji

JiografiaEdit

Eneo lake ni 205.07 km². Mji uko pande zote mbili za Mto Šešupė.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu "Marijampolė" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marijampolė kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.