Marilyn Monroe (1 Juni 19265 Agosti 1962) alikuwa mwigizaji wa filamu, mwimbaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alikuwa miongoni mwa nyota wa filamu maarufu kati ya mwaka 1950 na 1960.

Marilyn Monroe

Marilyn Monroe, mnamo 1953.
Amezaliwa Norma Jeane Mortenson
(1926-06-01)Juni 1, 1926
Los Angeles, California, Marekani
Amekufa 4 Agosti 1962 (umri 36)
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1945-1962
Ndoa James Dougherty (1942-1946)
Joe DiMaggio (1954-1955)
Arthur Miller (1956-1961)
[marilynmonroe.com Tovuti rasmi]

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marilyn Monroe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.