Marine Le Pen
Marine Le Pen (Neuilly-sur-Seine, 5 Agosti 1968) ni mwanasiasa wa Ufaransa. Yeye ni binti mdogo wa Jean-Marie Le Pen.
Marine Le Pen | |
![]() Marine Le Pen, rais wa Front kitaifa (Januari 2011) | |
2. rais wa Front kitaifa
| |
Aliingia ofisini 16 Januari 2011 | |
mtangulizi | Jean-Marie Le Pen |
---|---|
Mwanachama wa Bunge la Ulaya
| |
Aliingia ofisini 14 Julai 2009 | |
Constituency | Kaskazini-Magharibi Ufaransa |
Muda wa Utawala 20 Julai 2004 – 13 Julai 2009 | |
Constituency | Île-de-France |
tarehe ya kuzaliwa | 5 Agosti 1968 Neuilly-sur-Seine (92) |
utaifa | Ufaransa |
Fani yake | Mwanasheria |
tovuti | http://www.marinelepen2012.fr/ |
Alifanya kazi kama mwanasheria kati ya miaka 1992 na 1998, mwanachama wa Bunge la Ulaya tangu 2004, rais wa chama cha kisiasa cha Front National tangu tarehe 16 Januari 2011.[1]
MarejeoEdit
- ↑ (Kifaransa) Biography rasmi wa Marine Le Pen, Front kitaifa
Maisha yake alivyoyaandika mwenyeweEdit
- (Kifaransa) À contre-flots, éd. Jacques Grancher, coll. "Grancher Depot", Paris, 2006, 322 p., broché, 15 x 22 cm
Viungo vya njeEdit
- (Kiingereza) Bunge la Ulaya
- (Kifaransa) Marine Le Pen
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marine Le Pen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |