Marit Bouwmeester ([ˈmɑrɪt ˈbʌumeːstər]; alizaliwa Wartena, 17 Juni 1988) ni mwendeshaji kwa tanga kutoka Uholanzi[1].

Marit Bouwmeester
Marit Bouwmeester

Bouwmeester alishinda medali ya dhahabu katika Daraja ya Laser Radial kwenye Tukio la Kuendesha kwa Tanga kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto huko Rio de Janeiro, na medali ya fedha mwaka 2012[2][3][3][4][5] kwenye Olimpiki ya Majira ya Joto huko Weymouth. Mwaka 2017 alishinda Tuzo ya Mwendeshaji kwa Tanga wa Dunia wa Mwaka. Alishindana kwenye Olimpiki ya Majira ya Joto ya 2020 huko Tokyo mwaka 2021 katika Daraja ya Laser Radial[6].

Marejeo hariri

  1. Marit Bouwmeester Bio, Stats, and Results | Olympics at Sports-Reference.com. web.archive.org (2017-06-11). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-04-18. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
  2. BBC Sport - Olympics sailing: China's Xu Lijia pips Marit Bouwmeester to gold. web.archive.org (2012-08-09). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-08-09. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
  3. 3.0 3.1 Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-01-26. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
  4. Deelnemers Olympische Spelen 2012 Nederlandse Sporters. www.zoekenvindalles.nl. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
  5. 2012 London Olympic Sailing Competition (en). sailing.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-11-30. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.
  6. Marit BOUWMEESTER. Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-30.