Mark Eyskens
Marc Maria Frans Eyskens (amezaliwa 29 Aprili 1933) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ubelgiji. Alikuwa Waziri Mkuu wa Ubelgiji kuanzia 6 Aprili hadi 17 Desemba 1981. Miaka ya 1989 hadi 1992 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Yeye ni mwana wa Waziri Mkuu Gaston Eyskens.
Angalia Pia
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mark Eyskens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |