Mark Van Doren (13 Juni 189410 Desemba 1972) alikuwa mshairi, mwandishi na profesa wa Kiingereza kutoka nchi ya Marekani. Yeye ni mdogo wa Carl Van Doren. Mwaka wa 1940 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Faili:Mark Van Doren (1894 – 1972).jpg
Mark Van Doren

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Van Doren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.