Marouane Fellaini Bakkioui (alizaliwa Novemba 22, 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu/soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Marouane Fellaini

Alizaliwa Etterbeek kwa wazazi wake nchini Morocco, Fellaini alicheza soka la vijana Anderlecht, R.A.E.C. Mons, Royale Francs Borains na Charleroi S.C kabla ya kujiunga na Standard Liège.Baada ya kushinda Daraja la kwanza la Ubelgiji na Shoe Ebony, alihamia Uingereza kujiunga na Everton FC.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marouane Fellaini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.