Martín de Aguilar

Martín de Aguilar (alikuwa hai mnamo 1603) alikuwa mpelelezi wa Hispania ambaye kumbukumbu zake zinahusisha mojawapo ya maelezo ya maandishi ya kwanza ya pwani ya jimbo la Oregon, Marekani.[1]

Marejeo

hariri
  1. Historia general de América: Período colonial. Angloamérica II Academia Nacional de la Historia (Venezuela), Guillermo Morón, Louis B. Wright - 1986- p90 "A tal mar daban acceso dos pasos: uno, que se señalaba a los 43°, que fue el que supuso Aguilar en 1603. ... También dedujo el marino español que los rusos no habían encontrado el estrecho de Anian, que comenzó a pensarse no podía ser un amplio ... Vicente Doz, a la vista de los datos reunidos en Madrid, y según lo supuso ya Martín de Aguilar en 1603, en la expedición de Sebastián Vizcaíno."
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.