Martin Rodbell (1 Desemba, 19257 Desemba, 1998) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza protini na kazi yake ndani ya seli. Mwaka wa 1994, pamoja na Alfred Gilman, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Martin Rodbell
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Rodbell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.