Martin Ryle (27 Septemba 191814 Oktoba 1984) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi ya nyota na kuvumbua darubini inayotumia mawimbi na mwangi wa redio. Mwaka wa 1966 alipewa cheo cha Sir cha Uingereza. Mwaka wa 1974, pamoja na Antony Hewish alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Ryle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.