Mary Birdsall

Mary B. Thistlethwaite Birdsall (alizaiwa 1828– alifariki 1894) alizaliwa huko Pennsy kwa wahamiaji wa Waingereza.

Alilelewa kwenye shamba karibu na Richmond, Indiana, ambapo aliolewa na Thomas Birdsall mnamo mwaka 1848. Walipata watoto watatu pamoja. Alikuwa mwandishi wa habari, mstahimilivu, na mfanyakazi imara. Alianza kazi yake ya uandishi wa habari kama mhariri mwanamke katika gazeti la Indiana Farmer.[1]

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Birdsall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.