Mary Wanjiku Kinuthia

Mchezaji wa mpira Kenya
(Elekezwa kutoka Mary Kinuthia)

Mary Wanjiku Kinuthia [1] (alizaliwa 19 Februari 1990[2]) ni mwanasoka nchini Kenya ambaye anacheza kama mshambuliaji. Amekuwa mwanachama wa timu ya Wanawake Nchini Kenya.

Kazi za Kimataifa

hariri

Kinuth alichezea Kenya katika mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2016.

Marejeo

hariri
  1. "Kenya name AWCON squad". Soka25east.
  2. "Competitions - 10th Edition Women's AFCON-cameroon 2016 - Team Details - Player Details". CAF.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Wanjiku Kinuthia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.