Maryprisca Mahundi

mwanasiasa kutoka Tanzania

Maryprisca Winfred Mahundi ni mwanasiasa wa Tanzania na naibu waziri wa maji na kwa sasa anahudumu kama mbunge wa chama cha mapinduzi kama mwakilishi wa wanawake katika viti maalum tangu Novemba 2020.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Maryprisca Winfred Mahundi Member of Parliament Profile".
  2. "Maryprisca Mahundi's Government Cabinet Profile".
  3. "Bodi mpya ya DUWASA yazinduliwa".