Masakazu Morita
Masakazu Morita|森田 成一|Morita Masakazu ni mwigizaji na seiyū alizaliwa tarehe 21 Oktoba 1972, huko Tokyo, Ujapani. Hivi sasa anafanya kazi na Aoni Productions. Yeye pia ni mtangazaji wa kipindi cha Bleach B-Station cha redio. Morita afaamika sana kwa jukumu lake kama Ichigo Kurosaki (Bleach), Tidus (Final Fantasy X), Auel Neider (Gundam Seed Destiny), Pegasus Seiya (Saint Seiya Hades: Chapter Inferno), na Troy Bolton (Toleo ya kijapani wa High School musical na High School Musical 2).
Masakazu Morita 森田 成一 | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | 森田 成一 (Morita Masakazu) |
Alizaliwa | 21 Oktoba 1972 |
Kafariki | {{{kafariki}}} |
Kazi yake | Seiyū, actor |
Miaka ya kazi | {{{miaka ya kazi}}} |
Tovuti Rasmi | {{{tovuti}}} |
Kulingana na mwandishi wa Bleach Tite Kubo, ni "mwenye nguvu nyingi", lakini "mtu anayependa marafiki na aliyewazi na watu".
Majukumu
haririMajukumu ya Anime na TV
hariri- Aqua Kids (Juno)
- Baccano! (Claire Stanfield)
- Beck (Hyoudou Masaru)
- Bleach (Ichigo Kurosaki,|Bleach (Ichigo Kurosaki, Hollow Ichigo)
- Case closed (Fukuma Ryosuke kipindi cha 419 na 420)
- Dragon Ball: Yo! Son Goku and His Friends Return!! (Tarble)
- Diamond Daydreams (yuu)
- Edeni of the East (Ryo Yūki)
- Final Fantasy VII Advent Children - motion actor
- Interlude (Nameless)
- Kiniro no Corda (Kazuki Hihara)
- Kite Liberator (rin Gaga)
- Marginal Prince (Alfred Visconti)
- Kidou Senshi Gundam SEED Destiny (Auel Neider)
- Major (Sato Toshiya)
- One Piece (Marco)
- Onmyou Taisenki (Yakumo Yoshikawa)
- Prince Of Tennis (Tashiro)
- Ring ni kakero (Ryuji Takane)
- Sengoku Basara (Maeda Keiji)
- Saint Seiya: Hades Chapter (Pegasus Seiya)
Majukumu ya Michezo
hariri- Bleach: Shattered Blade (Ichigo Kurosaki)
- Bakumetsu Renka Shinsengumi (Kondo Hasami)
- Final Fantasy X (Tidus)|Final Fantasy X (Tidus)
- Final Fantasy X-2 (Tidus), (Shuyin)
- Kingdom Hearts (Tidus)
- Kiniro no Corda series (Hihara Kazuki)
- Riviera: The Promised Land Riveria: The Promised Land (Ledah)
- Yo-Jin-Bo: The Bodyguards (Yozaburo Shiraanui)
- Sengoku Basara 2 (Maeda Keiji)
- Summon Night: Swordcraft Story 2 (Loki)
- Dynasty Warriors 5 (Pang De)
- Tokimeki Memorial Girl's Side: 2nd Kiss (Saeki teru)
- Dissidia: Final Fantasy (Tidus)(Tidus)
- Transfoma Armada Mchezo (Hot Shot)
- Puyo Puyo! 15th Anniversary (Schezo Wegey)
Majukumu ya kuigiza.
hariri- Special A (Tadashi Karino)
- Superior (Lakshri)
Majukumu ya kudabu.
hariri- High School Musical (Troy Bolton)
- High School Musical 2 (Troy Bolton)
Maelezo mengine.
hariri- Alishinda "Best Rookie Actor" katika Seiyū Awards kwa jukumu lake kama Ichigo Kurosaki
- Jina lake hutafsiriwa vibaya wakati mwingine kama Seiichi Morita. Suala mmoja ya mhuska Ichigo, anaye igizwa na Morita ni ana tabia ya kutafsiri majina ambayo yameandikwa vibaya.
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Masakazu Morita at the Internet Movie Database
- Masakazu Morita ({{{type}}}) at Anime News Network's Encyclopedia
- Masakazu Morita Ilihifadhiwa 29 Aprili 2013 kwenye Wayback Machine. saa Aoni Uzalishaji (Kijapani)
Makala biographical about a Japanese voice actor or actress bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |