Mashimba Mashauri Ndaki
Mwanasiasa nchini Tanzania
(Elekezwa kutoka Mashimba Ndaki)
Mashimba Mashauri Ndaki ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Maswa Magharibi kwa miaka 2015 – 2020. [1] Mwaka 2020 alichaguliwa na Rais John Magufuli kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania.
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |