Mashindano ya Ushairi ya Welisi

Mashindano ya Ushairi ya Welisi (kwa Kiingereza Welsh Poetry Competition) ni mashindano ya kila mwaka ya mashairi ya Kiingereza, na ni tuzo kubwa ya kipekee nchini Uingereza [1]. Tuzo hizi zilianzishwa mwaka 2007 na Welsh poet kwa ushirikiano na mpigapicha Dave Lewis.

Majaji wa mashindano hayo ni washairi wa Welisi, John Evans, Mike Jenkins, Eloise Williams, Sally Spedding na Kathy Miles mshindi wa tuzo za Bridport Prize.

Muandaji Dave Lewis amehariri na kuchapisha miswada ya washindi ya wa tuzo hizo The First Five Years[2] na Ten Years On.[3]

Washindi Waliopita hariri

  • 2019 Damen O'Brien (Australia), The Map-Makers Tale[4]
  • 2018 Judy Durrant (Victoria, Australia), Prayer To A Jacaranda[5]
  • 2017 Rae Howells (Swansea, Welisi), Airlings[6]
  • 2016 Tarquin Landseer (London, Uingereza), Blackfish[7]
  • 2015 Mick Evans (Carmarthenshire, Welisi), Map Makers
  • 2014 Kathy Miles (Cardigan, Welisi), The Pain Game[8]
  • 2013 Josie Turner (Uingereza), Rations[9]
  • 2012 Sally Spedding (Welisi), She wears green[10]
  • 2011 David J Costello (Wirral, Uingereza), Horseshoe Bat[11]
  • 2010 Sally Spedding (Ammanford, Welisi), Litzmannstadt 1941[12]
  • 2009 John Gallas (Leicestershire, Uingereza), The origami lesson[13]
  • 2008 Emily Hinshelwood (Ammanford, Welisi), Visually Speaking[14]
  • 2007 Gavin Price (Cardiff, Welisi), Concrete[15]

Marejeo hariri

  1. Official website
  2. 'The First Five Years'The First Five Years
  3. 'Ten Years On'Ten Years On
  4. 1st Prize goes to Australian poet Damen O'Brien. Literature Wales. Retrieved 10 July 2019.
  5. 1st Prize goes to Australian poet Judy Durrant for her haunting poem about the film and true life events surrounding 'Wolf Creek. Literature Wales. Retrieved 2 July 2018.
  6. Inspired by an evening walk during a family trip to Liverpool. Literature Wales. Retrieved 10 August 2017.
  7. Congratulations to Tarquin Landseer, Creative Writing MA Poetry and Poetics student, who has won first prize in the International Welsh Poetry Competition 2016 University of Royal Holloway Facebook page. Retrieved 23 August 2016.
  8. Americymru. Americymru news. 1 December May 2014.
  9. Book a Poet. Book A Poet.
  10. Excerpts from her writing career Archived 22 Januari 2020 at the Wayback Machine.. Excerpts from her writing career.
  11. Write Out Loud Write Out Loud news.
  12. It’s no mystery who deserves writers’ prize Wales Online. Retrieved 19 August 2010.
  13. Welsh Poetry Competition Anthology 2011 The First Five Years 2007-2011.
  14. Wales Online article Wales Online.
  15. 1st ever winner of the international Welsh Poetry Competition Official website.
  Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mashindano ya Ushairi ya Welisi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.