Mashine ya Fufu ni kifaa cha jikoni kinachotumika kusaga mbogamboga, miogo, ndizi, au magimbi. Linatumika Afrika magharibi na Kati.

Mashine inayoutumika kutengenezwa Fufu

Mashine ya Fufu hutengenezwa vyakula vizuri kwa muda wa dakika moja, kwa kawaida njia za zamani zilikua zikitumia zaidi ya nusu saa.[1][2]


Marejeo

hariri