Masimino wa Aix anasemekana ndiye aliyeinjilisha na pengine kuwa askofu wa kwanza[1] wa Aix-en-Provence, leo katika Ufaransa Kusini[2].

Sanamu yake.

Kama si Palestina, labda alitokea Afrika Kaskazini (eneo la Algeria ya leo)[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kwama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Juni[4]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • (Kiitalia) Il martirologio romano. Riformato a norma dei decreti del Concilio ecumenico Vaticano II e promulgato da papa Giovanni Paolo II, LEV, Città del Vaticano 2004.
  • (Kiitalia) Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.