Masis (Kirmenia: Մասիս) zamani uliutwa Narimanlu, Zangibasar, Ulukhanlu, Razdan, na Hrazdan) ni mji uliopo kwenye Mkoa wa Ararat. Upo upande wa kushoto mwa ukingo wa Mto Hrazdan , takriban kilomita 14 kutoka kusini mwa mji wa Yerevan. Idadi ya wakazi wa hapa wamefikia kiasi cha watu 21,376 (kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2001).

Katikati ya mji wa Masis

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.