Wilaya ya Maswa
Wilaya ya Maswa ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Simiyu.
Eneo la wilaya ni kilomita za mraba 3,398 na kati yake km2 2,375 zinafaa kwa kilimo, nyingine ni misitu na milima.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 344,125. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 427,864 [2].
Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa 393...
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Rice Production in the Maswa District, Tanzania and its Contribution to Poverty Alleviation, mwaka 2007, ISBN:9987-449 - 38 - 7 (pamoja na maelezo kuhusu wilaya)
- Introduction of ox-drawn weeders in Maswa District, Shinyanga Region, Tanzania
- Village Reports for Hinduki, Ipililo, Mwang’holo, and Zebeya in Maswa District, 2011
- Blogu na picha za Buyibuyi na Iyogelo Archived 21 Desemba 2015 at the Wayback Machine.
Tanbihi
haririKata za Wilaya ya Maswa - Mkoa wa Simiyu - Tanzania | ||
---|---|---|
Badi | Binza | Buchambi | Bugarama | Budekwa | Busangi | Busilili | Dakama | Ipililo | Isanga | Jija | Kadoto | Kulimi | Lalago | Malampaka | Masela | Mataba | Mbaragane | Mpindo | Mwabaratulu | Mwabayanda | Mwamanenge | Mwamashimba | Mwang'honoli | Nguliguli | Ng'wigwa | Nyabubinza | Nyalikungu | Sangamwalugesha | Senani | Seng'wa | Shanwa | Shishiyu | Sola | Sukuma | Zanzui |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |