Matamoros ni mji mkuu katika jimbo la Tamaulipas. Iko kaskazini - mashariki ya nchi Mexiko. Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 422,711.Iko kusini kabisa ya mji wa Brownsville katika Texas. Eneo lake ni 4 045 km². Mji upo m 10 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya Mji wa Matamoros



Jiji la Matamoros
Nchi Mexiko
Jimbo Tamaulipas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 422,711
Tovuti:  www.matamoros.gob.mx

Mji ulianzishwa mwaka 1774.




Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Matamoros kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.