Matembele
Matembele ni majani ya viazi vitamu ambayo hutumika kama mboga kwa kuliwa na chakula na pia ina virutubisho vifuatavyo: Protini, Niacin, Calcium na madini ya chuma.
![]() |
Makala hii kuhusu "Matembele" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |