Mathias E. Mnyampala

Mathias E. Mnyampala (1917-1969) was a Tanzanian lawyer, political activist, essayist, writer, historian and famous poet in Kiswahili language.

Mathias E. Mnyampala alizaliwa 18 Novemba 1917 katika kitongoji cha Muntundya Ihumwa katika Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma. Alifariki dunia mjini Dodoma tarehe 8 Juni 1969. Alikuwa mwanasheria, mzalendo wa Taifa la Tanzania na lugha yake Kiswahili, mwandishi na mshairi maarufu.

Kufuatana na maoni ya Profesa Madumulla, Mathias E. Mnyampala sasa hivi nchini Tanzania ni Jabali Lililosahaulika. Utafiti wa Vyuo Vikuu vya Tanzania na ng'ambo, hasa Ufaransa, haukukaa kimya kuhusu kazi yake upande wa Ushairi wa Kiswahili na Historia ya Wagogo wa Tanganyika. Lakini bado matokeo yake yanahitaji kuenezwa.

Vitabu vichache vya Mathias E. MnyampalaEdit

  • Mnyampala, M. E. (1954). Historia, mila, na desturi za Wagogo wa Tanganyika. Eagle Press.
  • Mnyampala, M. (1962). Utenzi wa Enjili Takatifu. Ndanda Mission Press.
  • Mnyampala, M. E. (1963). Diwani ya Mnyampala (Vol. 5). East African Literature Bureau.
  • Mnyampala, M. E. (1970). Ngonjera za ukuta. Oxford University Press.
  • Shihabdin Chiraghdin na Mathias E. Mnyampala (1977). Historia ya Kiswahili. Oxford University Press.
  • Mnyampala, M. E. (1995). Maddox, G. H. The Gogo: history, customs, and traditions. ME Sharpe Inc.
  • Mnyampala, M. E. (2011). Historia ya Hayati Sheikh Kaluta Amri Abedi (1924-1964). Ahmadiyya Printing Press. Dar es Salam. Tanzania. ISBN 9789976891645. 109 p.
  • Mnyampala, M. E. (2013). Maisha ni kugharimia. DL2A - Buluu Publishing. France. ISBN 9791092789027. 112 p.
  • Mnyampala, M. E. (2014). Ugogo na ardhi yake. DL2A - Buluu Publishing. France. ISBN 9791092789201. 112 p.

Kujua zaidi kuhusu Mathias E. MnyampalaEditNchi za Afrika  
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia