Mathieu Patouillet

Mathieu Frank Patouillet (alizaliwa 20 Februari 2004)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama golikipa klabu ya Sochaux, inayoshiriki Ligi ya Championnat National akitokea Olympique Lyonnais kwa mkopo.

Patouillet mnamo 2022

Marejeo

hariri
  1. "Player". Ligue1 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mathieu Patouillet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.