Mathilda Taylor Beasley, OSF (Novemba 14, 1832Desemba 20, 1903) alikuwa mlemavu Mkatoliki na kiongozi wa kidini ambaye alikuwa sista wa kwanza Mweusi kutumika katika jimbo la Georgia, Marekani.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Honorees: Mathilda Taylor Beasley". Georgia Women of Achievement. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 4, 2009. Iliwekwa mnamo 7 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.