Matia Marko, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1293) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Toulouse, Ufaransa, ambaye alikwenda Tunisia pamoja na Antonio Vallesio ili kuhubiri Injili, lakini alikamatwa na kuuawa kwa kurushwa chini kutoka gengeni kwa ajili ya imani yake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Aprili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.