Matia wa Yerusalemu

Matia wa Yerusalemu (alifariki 120 hivi) kwa asili alikuwa Myahudi[1] akawa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 113 hivi hadi kifo chake. Alishika nafasi ya Tobia[2][3].

Ilimbidi akabiliane na magumu mengi, kutokana na dhuluma ya Dola la Roma na ile ya Wayahudi dhidi ya Wakristo[4].

Mwenyewe alidhulumiwa lakini hakuuawa[5]

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Januari[6].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.