Matthew Buckley ni mwigizaji kutoka Uingereza, anayejulikana zaidi kwa kuigiza kama Martin Miller katika tamthilia ya shule ya BBC Grange Hill kuanzia mwaka 2001 hadi 2007.

Mhusika Martin ana Aspaja (Asperger syndrome), aina ya usonji. Buckley amefanya kazi na Jumuiya ya Kitaifa ya Usonji (National Autistic Society) ili kuhamasisha uelewa kuhusu ugonjwa huo.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matthew Buckley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.