Mauretania Caesariensis

Mauretania Caesariensis (karika lugha ya Kilatini) lilikuwa jimbo la dola la Roma lililopatikana mahali ambapo leo hii ni Algeria katika eneo la Maghreb. Jina lake kamili linawakilisha jina la mji mkuu wake uitwao Caesarea, Numidia.

Dola la Rumi - Ulipokuwapo mji wa Mauretania Caesariensis (125 BK)
Dola la Rumi katika mji wa Maghreb ikiionesha mji wa Mauretania Caesariensis.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mauretania Caesariensis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.