Mauzo shirikishi (kwa Kiingereza "affiliate marketing") ni mfumo wa mauzo unaotegemea utendakazi ambapo mwenye biashara humtunuku muuzaji aliyeshirikishwa kulingana na idadi ya wateja aliopata au bidhaa alizouza.[1][2][3]

Historia

hariri

Historia ya mauzo shirikishi inaweza kufuatiliwa kutoka kwa uvumbuzi wa dhana ya ugawaji wa mapato - ulipaji fidia kwa wanaosaidia kuuza bidhaa mwaka wa 1994.[4] Hii ilikuwa miaka minne tangu uvumbuzi wa utandawazi.

Sekta hii ya mauzo shirikishi ina washirika wakuu wanne:

  • mfanyabiashara (kwa Kiingereza 'retailer' or 'brand')
  • mtandao unaowashikanisha wenye biashara na wauzaji washirikishi ambao ndio huonyesha kiwango cha fidia.
  • wauuzaji washirikishi (kwa Kiingereza Afilliate Marketers)
  • mteja

Marejeo

hariri
  1. Brown, Bruce C. (2009). The complete guide to affiliate marketing on the Web : how to use and profit from affiliate marketing programs. Ocala, Fla.: Atlantic Pub. Group. ku. p. 17. ISBN 9781601381255. OCLC 156831620. {{cite book}}: |pages= has extra text (help)
  2. Ulaner, Kevin (2017 Agosti 07). Affiliate Marketing: The Beginner's Step by Step Guide to Making Money Online With Affiliate Marketing (kwa Kiingereza). CreateSpace Independent Publishing Platform. ku. pp. 5-6. ISBN 9781974108640. {{cite book}}: |pages= has extra text (help); Check date values in: |date= (help)
  3. Goldschmidt, Simon; Sven, Junghagen; Uri, Harris (2003 Septemba 31). Strategic affiliate marketing (kwa Kiingereza). Cheltenham, UK: Edward Elgar Pub. ku. p. 43. ISBN 1843763907. OCLC 51886477. {{cite book}}: |pages= has extra text (help); Check date values in: |date= (help)
  4. Shashank SHEKHAR (2009-06-29). "Online Marketing System: Affiliate marketing". Feed Money.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-15. Iliwekwa mnamo 2019-01-18. During November 1994, CDNOW released its BuyWeb program. With this program CDNOW was the first non-adult website to launch the concept of an affiliate or associate program with its idea of click-through purchasing. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mauzo shirikishi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.