Maixant Magloire Mombollet (alizaliwa 17 Januari 1981 huko Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati) Ni mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu wa chuo kikuu kutoka The Citadel mnamo mwaka 2000-2004. Amechezea timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati mwaka 2001, 2003, 2005, 2007 na 2009 FIBA Championships Africa, na kuisaidia timu hiyo kufika robo fainali mwaka wa 2005, 2007, na 2009.[1][2]Kwa sasa anacheza nafasi ya mbele katika Orcines inayoshiliki ligi ya kikapu Ufaransa.

Marejeo

hariri
  1. "Kiến Thức Bóng Rổ, Cá Độ Bóng Rổ Thabet -" (kwa Kivietinamu). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-17. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.