Maxence Caqueret
Maxence Caqueret (alizaliwa 15 Februari 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa[2]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maxence Caqueret kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |