Maximinus Daia

(Elekezwa kutoka Maximinus II)

Maximinus Daia (270 hivi - 313) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Licinius kuanzia 308 hadi 313.

Sanamu ya Maximinus Daia

Alimfuata Galerius akafuatwa na Licinius.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maximinus Daia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.