Mazungumzo (tanzu)

Mazungumzo ni mojawapo ya fani au tanzu za fasihi simulizi. Mazungumzo ya kifasihi huhusisha ubunifu wa hali ya juu unaoshirikisha tamathali za usemi.

Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mazungumzo (tanzu) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.