Mbarara
Mbarara ni mji mkuu wa Wilaya ya Mbarara nchini Uganda Jumuia ya Afrika Mashariki. Idadi ya wakazi wake ni takriban 197,500.
Mbarara | |
Mahali pa mji wa Mbarara katika Uganda |
|
Majiranukta: 00°36′48″S 30°39′30″E / 0.61333°S 30.65833°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Mkoa | Magharibi |
Wilaya | Mbarara |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 97,500 |
Ni mji maluum ambao una chuo kikuu cha Makerere, Kikara Campus.
Ushawishi wake ulitoka Kiswa na Wilaya ya Isingiro.
Tazama pia
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mbarara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |