Mbuji-Mayi
Mbujimayi (pia imeandikwa Mbuji-Mayi; kihalisi katika Chiluba "mto wa mbuzi") ni mji ulioko katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mbuji-Mayi ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mbuji-Mayi | |
Mahali pa mji wa Mbuji-Mayi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|
Majiranukta: 6°9′0″S 23°36′0″E / 6.15000°S 23.60000°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mkoa | Kasaï Mashariki |
Idadi ya wakazi (2015) | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,367,582[1] |
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mbuji-Mayi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |