Mbulelo Mzamane

Mwanaharakati na msomi wa Afrika Kusini

Mbulelo V. Mzamane (amezaliwa 1948) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Pia ni mhadhiri na profesa wa fasihi. Ameandika hadithi na insha za uhakiki.

Maandishi yake hariri

  • Mzala (1980)
  • The Children of Soweto (1982)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbulelo Mzamane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.