Mbulu (mji)

(Elekezwa kutoka Mbulu mjini)


Mbulu ni mji ambao unaunda Wilaya ya Mbulu Mjini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania. Hadi mwaka 2012 mji wote ulihesabiwa kama kata moja [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 138,593 [2].

Mbulu mjini
Mbulu mjini is located in Tanzania
Mbulu mjini
Mbulu mjini

Mahali pa Mbulu mjini katika Tanzania

Majiranukta: 3°51′22″S 35°32′37″E / 3.85611°S 35.54361°E / -3.85611; 35.54361
Nchi Tanzania
Mkoa Manyara
Wilaya Mbulu Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 138,593
Kanisa katoliki la Mbulu (picha ya Tamino Boehm)

Takriban asilimia 70-80 za wakazi ni Wairaqw.[3]

Kuna makao makuu ya Jimbo Katoliki la Mbulu la Kanisa Katoliki.

Wakati wa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani mazingira haya yalijulikana kwa jina "Umbulu" ukawa na ofisi ndogo ya mkoa wa Arusha wa Wajerumani. Wakati ule Mapadre Weupe walijenga hapa kituo kilichoitwa "Neu-Trier" yaani Trier Mpya.

Marejeo

hariri
  1. Mwaka 2002 kata ya Mbulu mjini likuwa na wakazi 12,171 waishio humo."Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. J. Baker, H Wallevik: Changing Lifeworlds and contested space; seclusion practises among the Iraqw of Northern Tanzania, hapo hasa kurasa 12-15 kuhusu Mbulu Mjini
  Kata za Wilaya ya Mbulu Vijijini - Mkoa wa Manyara - Tanzania  

Bashay | Dinamu | Dongobesh | Endahagichan | Endamilay | Eshkesh | Geterer | Gidhim | Haydarer | Haydom | Labay | Maghang | Maretadu | Masieda | Masqaroda | Tumati | Yaeda Ampa | Yaeda Chini


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbulu (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.