Mc GaraB
Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.
Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu
Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.
Mc Garab, anayejulikana pia kama Mc Gara B, Jina lake halisi ni Godfrey Rugarabamu ni Mshehereshaji maarufu wa Kitanzania, mwigizaji, na mtangazaji wa televisheni. Anajulikana sana kwa ustadi wake wa kusheheresha na uwepo wake wa kuvutia katika tasnia ya burudani nchini Tanzania. Mc Garab ana wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram na YouTube, ambapo hushiriki taarifa kuhusu kazi yake na maisha binafsi.
Maisha ya Ndoa
haririMc GaraB ni mme na baba wa watoto watano. Mke wake ni Norah Nchobe ambaye walikutana naye mwaka 2012 kwenye moja ya harusi akiwa mshereheshaji na wakafanikiwa kuoana Novemba 21, 2016[1]
Taaluma
haririMc GaraB kitaalama ni mwalimu wa somo la kiingereza, licha ya kuwa na ndoto ya kuwa padri wa kanisa katoliki akifanikiwa kusoma seminari na baadae mwaka wa malezi, lakini mwishowe akaacha ndoto hio na kugeukia upande wa pili kuwa mwalimu na baadae kuwa MC na mshehereshaji maarufu nchini Tanzania
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |