Mchirizo
Mchirizo ni tamko katika hisabati (jiometria) la kutaja mstari unaonama kama jinamizi au kuruba.
Huelezwa pia kama taswira ya njia.
Mfano wa mchirizo ni duara ambayo ni mchirizo unaojifunga.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchirizo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |