Mchoro biti

Katika utarakilishi, mchoro biti (kwa Kiingereza: Bitmap) ni sampuli ya data ambayo imejaa biti.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).