Mdudu mabawa-vena
Bawakimia mwekundu (Dysochrysa furcata)
Bawakimia mwekundu (Dysochrysa furcata)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Ngeli ya chini: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Neuroptera (Wadudu walio na mabawa wenye vena nyingi kama kimia)
Linnaeus, 1758
Ngazi za chini

Nusuoda 3

  • Hemerobiiformia
  • Myrmeleontiformia
  • Nevrorthiformia

Wadudu mabawa-vena ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda Neuroptera (neuro = neva, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Katika Afrika familia inayojulikana sana ni Myrmeleontidae (vitukutuku au simba-sisimizi).

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Mabawa-vena kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hiyo kuhusu "Mdudu Mabawa-vena" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.