'Mdundo' ni wimbo uliotoka 9 Septemba 2017 ambao umetungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Msami. Wimbo umetayarishwa na Abby Daddy. Video imeongozwa na Joowzey. Kama kawaida yake Msami kwenye kudansi, humu kafanya balaa tupu katika kucheza, hasa ukizingatia yeye ni mwalimu wa kudansi wa Tanzania House of Talent.[2][3]

“Mdundo”
“Mdundo” cover
Kasha la Mdundo
Single ya Msami
Imetolewa 9 Septemba, 2017
Muundo Upakuzi wa mtandaoni
Imerekodiwa 2017
Aina Bongo Flava, singeli [1], mduara
Urefu 3:13
Mtunzi Msami
Mtayarishaji Abby Daddy
Mwenendo wa single za Msami
"So Fine"
(2017)
"Mdundo"
(2017)

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Toleo la sauti la "Mdundo" kwenye wavuti ya DJ Mwanga - Sept, 2017.
  2. VideoMPYA: Msami karudi na ‘Mdundo’ itazame katika wavuti ya "Millard Ayo" mnamo September 10, 2017.
  3. New Video: Msami – Mdundo katika Bongo 5 - Mkali wa ngoma za kucheza Bongo, Msami ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Mdundo, mnamo September 11, 2017 .

Viungo vya Nje

hariri