Meja (kwa Kiingereza: Major) ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Luteni Kanali na juu ya Kapteni au Nahodha katika jeshi la wanamaji.

Alama kwenye sare ya meja katika jeshi la Tanzania



Flag of Tanzania.svg Vyeo vya kijeshi - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Jenerali * Luteni Jenerali * Meja Jenerali * Brigedia * Kanali * Luteni Kanali * Meja * Kapteni * Luteni * Luteni-usu

Afisa Mteule Daraja la Kwanza * Afisa Mteule Daraja la Pili * Sajinitaji * Sajenti * Koplo * Koplo-usu